Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
ππππππππNataka niolewe mchango utatoa laazizi wangu?
Mbona wewe unae home mpenz?! Mie nikae tu niendelee kuwatazama mnavyopikiana msosi?ππππππππππ
Sawa[emoji23]
Mlale salama ndugu
Hawezi pigo za kinyakyusa huyo,,,afu jicho lake twaelekeana ataishia kulialia tu kwa bedπalf da kidoti next week nakuj mbeya kumvist " mshamba.. naomba twende wote maan ni crush wako hatari[emoji38]
Nakingβoa kesho mkuuππ½sawa da kidoti uwe na njozi njemaaa[emoji3590]
Hawezi pigo za kinyakyusa huyo,,,afu jicho lake twaelekeana ataishia kulialia tu kwa bed[emoji849]
Nakingβoa kesho mkuu[emoji1431]
Nasema kidoti nakingβoa keshoone love, bado tupo tupo[emoji1666]
Nasema kidoti nakingβoa kesho
Aliwahi nipigisha mmoja tu katerero na tuliachana kwa kosa la kunisababishia nimwage maji