Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Utachukua gundi ubandike machoni ili usilembue macho 😀 😀[emoji16] hata sitamani kufika hukoo kweny kulembua lembua
Ondoa wasiwasi tupo pamoja lindonidalili za hatari hizi
[emoji23]si unatunza kicheko cha baadae kwenye siku yenu we nuna tu then ulale[emoji53][emoji28]
Utachukua gundi ubandike machoni ili usilembue macho 😀 😀
A wapi hujui kununa😂😂😂😂siku yenyew sindo inaelekea ukingoni hivyoo sa nitamchekea nani,,, saw ngoj niendeleze mnuno[emoji13]
Achia lindo😂Naona macho yameanza kuangalia pua, uzalendo umenishinda?
Naona macho yameanza kuangalia pua, uzalendo umenishinda?
Kaza kijanaNaona macho yameanza kuangalia pua, uzalendo umenishinda?
0049Hrs01:47 Kichwa Kichafu amka kijana[emoji38][emoji851]
00:50Ni saa ngapi huko
0050Hrs04:04 I mean no malice to nobody
Komaa hapo hapo cheza na gear tu 🤣 🤣Kuna baridi kali sana huku, unanisaidiaje 😀
Tuliza wenge, wewe dalali🤓0050Hrs
A wapi hujui kununa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usingizi ndo umekufanya uwe hivo.
Njoo upate maji ya gold, ili nawe uweze kuwa gold 😀haha sawa ban kwahy ushamaliza kunywaaa kinini kile kinaitwaaaa..... em nikumbushe basi nmesahau kidog
Unataka ubaki mwenyewe ufanye nini?Achia lindo😂
Unalitesa bure hilo hekalu la munguunajidekeza tu
Hakikisha anatoa jibu 🤣Unataka ubaki mwenyewe ufanye nini?