πππhahah ni sual la mdayanamwisho
Tatizo ni bei ya mkaa π πDereva gani wewe huoni mazingira ya barabara π€£ π€£
π π π we ya kwako ni mekundu?
π π π ebu kunja nne watu wakuoneelewa neno mikono salama[emoji38][emoji38]
Una ufahamu ule wimbo wa bob h; 'yule mchawi yuko wapi tumkate mapang.....ana macho mekundu...'ndio alf nayapenda ile mbaya[emoji38]
shona tulia π€£ nguvu matamanio unatoa where, wakati apeche apecheeTatizo ni bei ya mkaa π π
Huo sio uzalendo sasashona tulia π€£ nguvu matamanio unatoa where, wakati apeche apechee
π π π ebu kunja nne watu wakuone
Una ufahamu ule wimbo wa bob h; 'yule mchawi yuko wapi tumkate mapang.....ana macho mekundu...'
Niachane na kataa ndoa movement... Haiwezekani wakati huu watu wamelala mimi ndio napika!
Mkuu, akishapika, akafua, akasafisha getto, ukamla.. the rest ni kilio.Niachane na kataa ndoa movement... Haiwezekani wakati huu watu wamelala mimi ndio napika!
TumiaNataka nianze kutumia dawa za usingizi. Ushauri?
Toa ushauri, mazuri na mabaya yake. Kama hauna tulia pambana na insomnia yako.Tumia
Nimekuona kwa mbali sanahahaha na nimekunja kweli ila sion watu wa kuniona hapa[emoji41]
Muhimu umekuja lindo bila shurutiNipo lindoni kwa uaminifu kabisa 0122hrs