JamiiForums Usiku wa manane

Akikufanyia yote hayo jiandae na invoices za hapa na pale!
Sasa ya nini ayo?

Kufua & usafi - Jipange washing machine, au mama fua, au piga mazoezi ya kufua na usafi weekend.

Kupika - Pika vitu simple mayai, chai, wali kwenye rice cooker. Uzuri wa wali unaenda na mboga yoyote, ata wali kwa wali mwezie.

Kunyandua - hapa unatafuta wale wa kuja 1 day jumamos anasepa. Kisingizio mdogo wangu wa IFM kafunga chuo hawezi kurudi kwetu Butiama likizo fupi anakaa hapa ghetto.

Oyaa.
 
powerfulll unaenjoy na mawazo ya vikoba[emoji1787]. tukiwa na vijana wetu wa ulinzi wanakoroma haki ya nani mimi nitafukuza haya Intelligent businessman Shadow7 Equation x [emoji1787] [emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23] intelli.. huy ameshind anasoma vitabu mpka akili imesizi ndo maan hajaaga,, uyu kivuli kukiwa na giza tu na yeye anatoweka[emoji81][emoji81] maan hapatan na mwanga shida ipo kwa uyu equation yeye ni wa kishua anaogopa macho yake kuwa mekundu[emoji1787][emoji1787],,
tumebaki sisi wenye mikopo kausha dam[emoji1316] ukilala unahisi kukabwa koo[emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…