Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
05:28 oya Bora ukawe muuza kahawa tu, maana ulinzi huuweziAmka wewe soma juu hapo Mwalimu
04:06
πpowerfulll unaenjoy na mawazo ya vikobaπ€£. tukiwa na vijana wetu wa ulinzi wanakoroma haki ya nani mimi nitafukuza haya Intelligent businessman Shadow7 Equation x π€£ π€£
Ndo nakabidhi lindo hukuuyu kivuli kukiwa na giza tu na yeye anatowekamaan hapatan na mwanga
Nipo macho mkuu02:01 dalali Kichwa Kichafu uko wapi na bishoo mwenzio Shadow7 π€
Nipo macho mkuu02:01 dalali Kichwa Kichafu uko wapi na bishoo mwenzio Shadow7 π€
Nyie wote bado ni kuruti
We mzee acha wehu basi, SI ume kuja saa 1 asubuiππ€Nipo macho mkuu
Jf kubwa nilikua napitia kwa Yoga kuleWe mzee acha wehu basi, SI ume kuja saa 1 asubuiππ€
Zee liongo hili π€πJf kubwa nilikua napitia kwa Yoga kule
Naona ame jifunza, na hapa sikuwa serious kabisa ππ.Kijana hata kozi hajamaliza ameshaanza kujiona C.O
Tupo busy kufanya analysis πZee liongo hili π€π
Ilibidi unitagNaona ame jifunza, na hapa sikuwa serious kabisa ππ.
Nili takiwa nimpe double check ya kila dk 1 ππ
Wewe nili kutag zaidi ya Mara 3, ulikuwa una koroma kizuzuππIlibidi unitag
πππ Leo itabidi niwe macho muda woteWewe nili kutag zaidi ya Mara 3, ulikuwa una koroma kizuzuππ
Kwa ulinzi Humu, sijaona wa kuni vimbia kichwa ππ€£πππ Leo itabidi niwe macho muda wote