Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
😁😁😁00:34 Shadow7, Kichwa Kichafu, Raine Col mko wapi Walinzi vilaza nyinyi!.
Mna achaje lindo tupu, au kisa mkubwa wenu Niko bize na holiday.
01:07 amka uka kojoe bhana 😀😂Kijana mdogo utakua umeshalala wewe😀
02:46
Tafuna Kitunguu maji, na unywe naji lita 1Mafua nyoko sana
Kitunguu Maji napata wapi saa 7 bro, mi Kataa Ndoa.Tafuna Kitunguu maji, na unywe naji lita 1
Mi ndo katibu muenezi wa kataa ndoa, ila we mzembe Sana.Kitunguu Maji napata wapi saa 7 bro, mi Kataa Ndoa.
Pamoja sanaNipo mkuu
We dogo msumbufu sana01:56 siku hizi Walinzi hakuna
We dogo ukilala ntakulamba makwenzi subiri hapo hapo01:56 siku hizi Walinzi hakuna