😅😅😅 Nimependa aseeHuruma sio malezi 🤣 🤣 Ngorongoro awahi mbele maniajee🤣🤣🤣😍
Leta ushahidi kenge wee, we si ume lala saa 8 ??Wewe dogo Jana nimekunyoosha leo tena naenda kukunyoosha
01:18
Dah 😄😂, Raine Col pisi ya kwenda bhana❤️😅😅😅 Nimependa asee
Intelligent tuanzishie na uzi na hili basi😅😅
Sawa ngoja tuoneNaamka na jf leo
🤣 🤣 🤣 Hutaki kumshauri vizuri mwenzako 🤣🤣😅😅😅 Nimependa asee
Intelligent tuanzishie na uzi na hili basi😅😅
Wewe dogo acha kunisingizia sijalala saa 8 Mimi mpaka 12 majogoo nipo hapaLeta ushahidi kenge wee, we si ume lala saa 8 ??
Penzi zuri ni lile lilioacha alama😅kama kule🤣 🤣 🤣 Hutaki kumshauri vizuri mwenzako 🤣🤣
Mkuu sikuhizi nimekuwa busy sanaa yan hata jf nmekuwa mtoro. Dah utawaua?🤣🤣Naam bingwa wa ulinzi wa muda wote nipo, vijana wali force challenge Waka ishia kukimbia😄😄
KwemaWakuu
SalaamSalam kwenu wakuu. Nimewamiss sana
Oya we wa kiume kweli🤔🤔, kila siku naku singizia🤒.Wewe dogo acha kunisingizia sijalala saa 8 Mimi mpaka 12 majogoo nipo hapa
01:21
Karibu mkuuSalam kwenu wakuu. Nimewamiss sana
Shukran sana mkuuKaribu mkuu
Dogo tulia hii ndio kwanza saa 7 ole wako ulale nakuamshaOya we wa kiume kweli🤔🤔, kila siku naku singizia🤒.
Akati ushahidi upo.
Last seen yako SI saa 8:37 Jana??, niku singizie nini Sasa🤓🤓
View attachment 2930806
Tupo pamoja mkuu tuimarishe ulinziSalaam