Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
06:02 zee staafu tu🤓🤓04:10
Haka kalitumis 😂Acha wehu bibie, Sema uli tumiss tu🤓🤣
Detail ya saba nimekuja kukabidhi silahaShadow7 Intelligent businessman ghala la silaha lipo wazi mkachukue silaha muanze kusafisha nipo nalob lob minazi 🤣 🤣
Hawa maafande usiku kucha wanasimamisha mnazi[emoji849][emoji849]
Hawa vijana hamna kituNaona kazi ya Ulinzi imewashinda Vijana hadi Wazee tunakuja wenyewe kulinda 😜
12:15 AM
😂wamekimbia lindoHawa vijana hamna kitu
06:02 ndo unaamka? Ungeibiwa silaha je?06:02 zee staafu tu🤓🤓
Kazi imewashinda ngoja turudi wazoefu😂wamekimbia lindo
KabisaKazi imewashinda ngoja turudi wazoefu
Kwa kweli aisee 😅Hawa vijana hamna kitu
Hiyo challenge Wazee tutaibuka washindi, hatuchelewi kumlipa robot afanye kazi ya kutulindia lindo sisi tukiwa tumelala 😅00:31 Vipi tuweke challenge 😆😆
Mzee hata lije sanamu, u will never win against sisi vijana😆🤓Hiyo challenge Wazee tutaibuka washindi, hatuchelewi kumlipa robot afanye kazi ya kutulindia lindo sisi tukiwa tumelala 😅
Hahaha...............ngoja niongee na Elon Musk anipatie robot Moja lianze kazi Leo usiku 😜Mzee hata lije sanamu, u will never win against sisi vijana😆🤓
We ongea ba li roboti la kichina, lipe command tuone🤣🤔Hahaha...............ngoja niongee na Elon Musk anipatie robot Moja lianze kazi Leo usiku 😜
Wale watuuuuuuuuuu ghala bwana amara anawasubiri 🤣 🤣 🤣Maafande mjiandae kuchukua silaha
Niko Amara saivi cha ajabu hamna hata staff mmoja aliyejitokeza sasa sijui mnataka shangazi yangu atoke kijijini ndo aje alinde😂Wale watuuuuuuuuuu ghala bwana amara anawasubiri 🤣 🤣 🤣
Usiku wa manane bado tulieni hovohivo tuwaangalie Barcelona na Arsenal 😂😂. Ndo tuendelee na lindo.Wale watuuuuuuuuuu ghala bwana amara anawasubiri 🤣 🤣 🤣