Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Tumeanza extra time 30 minSo bado 1-0, namaanisha Uzi wa viwanja wame ila kichwa😄
Niko nafatilia hapaTumeanza extra time 30 min
Arsenal wameniweza macho mpaka muda huu na kesho nasafiri kuvuka mikoa miwili kwa private car. Wamenikera Sana ingawa game bado inaendelea Ila walipaswa wamalize kipindi mapema😩Nipo bro.. Arsenal wananichanganya uku
Second half ya extra timeArsenal wameniweza macho mpaka muda huu na kesho nasafiri kuvuka mikoa miwili kwa private car. Wamenikera Sana ingawa game bado inaendelea Ila walipaswa wamalize kipindi mapema😩
Mi nimeamua kuzimia TV, nitapata matokeo through live scores maana Arsenal ikifungwa sitalala kabisaSecond half ya extra time
Kaka nasikia baridi ghafla😄Mi nimeamua kuzimia TV, nitapata matokeo through live scores maana Arsenal ikifungwa sitalala kabisa
Haha kipa wa Porto ni mzuri Sana kwenye penalties.Kaka nasikia baridi ghafla😄
Tumefunga 4, wame kosa 2Haha kipa wa Porto ni mzuri Sana kwenye penalties.
Bora aisee. Now I can taste the goodness of a sleep.😊🙏Tumefunga 4, wame kosa 2
Sem porto ni wazuri, wali wahi mtoa Juventus aisee.Bora aisee. Now I can taste the goodness of a sleep.😊🙏
Mfano nani Sasa mkuu😄1:55
kuna watu kila siku nawakuta humu mnalala saa ngapi....maana mie huwa sichukui round naishia nikiamka Asubuhi nawakuta tena ...Duh