JamiiForums Usiku wa manane

Kuna jirani yangu sijui ni member wa huu uzi, ikifika hii mida ndio anaanzaga kupika dagaa wa kukaanga wananukia. Sio muislam kwamba anapika daku. Na nyimbo zake boringo za kitambo Loketo Mabele... Samba Ma nn sijui..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…