Alikua mtu wa chenjaooooho Nimemkumbuka alikua O/mess wakati mimi nimebeba mtu huku namtafuta malela π€£ π€£ π€£
Mbona mapema, kuna mwamba Intelligent businessman ndio anazima taa kila siku. Analala 7am00:05
March 17, 2024.
Sijui nina isomnia.π°
Umelala au leo usingizi umegoma kuja?00:01
π€£π€£π€£sikuona hii,mshnz kweli weweπSamejaaa baba mlezi π€£ π€£ π€£
Nipo kwa bedUmelala au leo usingizi umegoma kuja?
Hii shida sasa,Nyumba nzima bado wapo macho.
Kuanzia mtoto mpaka wazazi
πππππππ
Tv ipo on ila kila mtu yupo bize na simu πππππHii shida sasa,
On a serious note, napata tabu sana kupata usingizi siku hizi.Mbona mapema, kuna mwamba Intelligent businessman ndio anazima taa kila siku. Analala 7am
Hlahahaa nikuulize, mchana nipe ratiba yako in summaryOn a serious note, napata tabu sana kupata usingizi siku hizi.
Yaani unaweza kuta hadi ngoma tisa bila bila jicho jeupe.
Yeah mwaka ushaisha.. oct tuna uchaguzi wa serikali ya mitaa na vijiji12:11 AM
mwezi unakata pasaka keshokutwa