Mbona mwandiko eenyewe unaonesha kama umeandika ukiwa wima?Nipo kwa bed
Sa11 alfajiri niko macho kila siku, 12 niko njiani kwenda mzigoni kwa siku za wiki, 11 jioni narudi maskani siku imeisha maandalizi ya siku nyingine.Hlahahaa nikuulize, mchana nipe ratiba yako in summary
Itakuwa tarehe ngapi?12:11 AM
mwezi unakata pasaka keshokutwa
Kumbe Wanyaki nao hupenda kusimanga wageni?Ana pesa ila sura mwanangu huyo mwanaume ulimkubalia usiku? Kauli ya mama mkwe wa kinyakyusa hapo mwamba umejipinda sebuleni upo kula ndizi nyama na Mahari zako million kadhaa ushatoa(wapo kukujadili chumbani kwao)
Basi ukirudi home kuanzia saa 12 usikae chumbani. Toka nje piga story, kacheki mpira, fanya jogging, soma kitabu, fanya gym.. afu ukitaka kulala let say saa 5 kamili usiku, achana na simu weka labda tu mziki afu iweke pembeni ata kama usingizi hauji USISHIKE SIMUSa11 alfajiri niko macho kila siku, 12 niko njiani kwenda mzigoni kwa siku za wiki, 11 jioni narudi maskani siku imeisha maandalizi ya siku nyingine.
tarehe 1 aprilItakuwa tarehe ngapi?
Watakuficha ila ndo ukweliKumbe Wanyaki nao hupenda kusimanga wageni?
Jaribu kufanya mazoezi jioni mkuu.Sa11 alfajiri niko macho kila siku, 12 niko njiani kwenda mzigoni kwa siku za wiki, 11 jioni narudi maskani siku imeisha maandalizi ya siku nyingine.
Nitajaribu mkuu, ila kwenye simu hapo kweli, imeninyima sana nidhamu ya muda mzuri wa kulala, lakini mda mwingine naamua kuperuzi ili walau nivute muda kwani usingizi umekataa kuja.Basi ukirudi home kuanzia saa 12 usikae chumbani. Toka nje piga story, kacheki mpira, fanya jogging, soma kitabu, fanya gym.. afu ukitaka kulala let say saa 5 kamili usiku, achana na simu weka labda tu mziki afu iweke pembeni ata kama usingizi hauji USISHIKE SIMU
Nilikua sifahamu, Asante sana.Watakuficha ila ndo ukweli
Shukrani mkuu, nitajaribu kulifanya hili.Jaribu kufanya mazoezi jioni mkuu.
Ngoja niwahi sokoni nikamtafutie bibi yenu nguo ya sikukuu, bila hivyo kila siku nitalazimishwa kuja lindotarehe 1 april
Hivi mzigoni ndo wapi jamani πππππSa11 alfajiri niko macho kila siku, 12 niko njiani kwenda mzigoni kwa siku za wiki, 11 jioni narudi maskani siku imeisha maandalizi ya siku nyingine.
Ukishika simu, ukiwa unaangalia TV au unacheki PC kusinzia sahau. Au fanya hivi, unampigia demu wako simu unaweka simu pemben mnakua mnaongea. Apo utasinziaNitajaribu mkuu, ila kwenye simu hapo kweli, imeninyima sana nidhamu ya muda mzuri wa kulala, lakini mda mwingine naamua kuperuzi ili walau nivute muda kwani usingizi umekataa kuja.