mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
january majukumu ni mengi unajiambia 'by february nitakamilisha'Itakuwa tarehe ngapi?
Nilikumiss mwamba...I appreciate you much aisee
Mwezi wa nne tena ada; hii kuwa na watoto wengi ni shida sana, ndio maana wazungu ni wabahili na wabinafsi, wanakuwa na katoto kamoja au viwili ili kukwepa majukumujanuary majukumu ni mengi unajiambia 'by february nitakamilisha'
paap, march hii hapa hujafanya kitu
Acha tu mkuu, mambo ni makubwa mzigoni.Hivi mzigoni ndo wapi jamani πππππ
Chai.Mwanangu, huyu mwanaume ukimsumbua au kumwacha basi utafute wazazi wengine ila siyo sisi...kamweshimu...msikilize kwa kila jambo...akikupiga vumilia mwanangu...mwanaume kuwa na wanawake nje ni Kawaida β (mama mkwe huyo,hapo ujue mwanaume umekamilika kila idara una pesa na mwonekano mzuri)
Unaongelea nini To yeye usiku huu wa manane au upo ndotoni nikuache?Mwanangu, huyu mwanaume ukimsumbua au kumwacha basi utafute wazazi wengine ila siyo sisi...kamweshimu...msikilize kwa kila jambo...akikupiga vumilia mwanangu...mwanaume kuwa na wanawake nje ni Kawaida β (mama mkwe huyo,hapo ujue mwanaume umekamilika kila idara una pesa na mwonekano mzuri)
To yeye naweza kusoma kwa tune ya kuimba mkuu maana unachoandika hapa naona kabisa kina follow beat hivi πππππMwanangu, huyu mwanaume ukimsumbua au kumwacha basi utafute wazazi wengine ila siyo sisi...kamweshimu...msikilize kwa kila jambo...akikupiga vumilia mwanangu...mwanaume kuwa na wanawake nje ni Kawaida β (mama mkwe huyo,hapo ujue mwanaume umekamilika kila idara una pesa na mwonekano mzuri)
Ukipigwa shavu la kushoto, geuza na la kulia upigwe vizuriTuendelee kuwa wazalendo katika taifa letu
Katika vitu vinanishinda ni kuongea na simu zaidi ya dakika5 mkuu.Ukishika simu, ukiwa unaangalia TV au unacheki PC kusinzia sahau. Au fanya hivi, unampigia demu wako simu unaweka simu pemben mnakua mnaongea. Apo utasinzia
Ukiingia mzigoni huwa unafanya nini mkuu...?Acha tu mkuu, mambo ni makubwa mzigoni.
We Introvert + Insomnia.Katika vitu vinanishinda ni kuongea na simu zaidi ya dakika5 mkuu.
Hapana mkuuπUkiingia mzigoni huwa unafanya nini mkuu...?
Au ni mambo ya ukuli ππππππ
Hapo anaongea mbele ya muoaji au wapo chemba?Mwanangu, huyu mwanaume ukimsumbua au kumwacha basi utafute wazazi wengine ila siyo sisi...kamweshimu...msikilize kwa kila jambo...akikupiga vumilia mwanangu...mwanaume kuwa na wanawake nje ni Kawaida β (mama mkwe huyo,hapo ujue mwanaume umekamilika kila idara una pesa na mwonekano mzuri)
Hapana mkuu, kwa mfano shemeji yako hakijaga kuilaza tunabonga kinoma, hadi tunapitiwa na usingizi. Ila kwa simu ni changamoto kinoma.We Introvert + Insomnia.
Tatizo ili.
πππππππ Daah bado sijapata maana halisi ya neno mzigoni..Hapana mkuuπ
Ila unafanya vitu vingi mbali na taito yako ya hapo mzigoni.
Okay sio mbaya. Basi we wekaga simu mbali hafu silent afu angusha. Unalala ndani ya dk 15Hapana mkuu, kwa mfano shemeji yako hakijaga kuilaza tunabonga kinoma, hadi tunapitiwa na usingizi. Ila kwa simu ni changamoto kinoma.