JamiiForums Usiku wa manane

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Daah bado sijapata maana halisi ya neno mzigoni..
Toa mfano zaidi mkuu.
Isije kuwa hata mimi mda huu nipo mzigoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa mfano niko pale kama IT support officer, ila mixer watu wa finance wana mizigo yao ya excel umeitwa kwa data entry, hujakaa sawa umetumwa misosi kwa kuwa unaenda nje, mara paap umeonekana kwa mlinzi unatoka anakutuma na maji na vitu kadha wa kadha.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Nimeona tuu hapo neno Excel mkuu..
Itoshe kusema kweli unaingiaga mzigoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…