mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Chai.Kama ubavu wako unakupenda kweli, hautakuruhusu uingie lindo ukapigwe na baridi; kwa mazingira hayo, wengi waliomo lindo sasa hivi mahusiano yao yana changamoto; kama unabisha nyoosha mkono juu!
We nae ko excel ndo ikufanye umuogope mtuπ€π, hio SI IPO hata kwe basic computer mwanzoniππππππππππ Nimeona tuu hapo neno Excel mkuu..
Itoshe kusema kweli unaingiaga mzigoni ππππππ
Safi mkuu na mimi kuna siku nitaingia mzigoni.πππNdo hivo mkuu, sio poaπ
Mtajitetea sana πππππ Mwenye simu kalala mbona... Yupo fofofo
Kaka kaka unaijua excel lakini...We nae ko excel ndo ikufanye umuogope mtuπ€π, hio SI IPO hata kwe basic computer mwanzoni
Aisee ntaua mtuπ€ππ€£Kuruti hali karoti mkuu πππ
Inakata kinoma watu hawaheshimu fani za watuπSafi mkuu na mimi kuna siku nitaingia mzigoni.πππ
Unakuwa singo, unataka uvumbue nini?Chai.
Wengine tupo singo.
ππππππ Kuna jukwaa flani hivi we jamaa ukauki salout kwako ππππππππ.Mtajitetea sana π
Solving those small question ya huyo tunamba ndo uka changanyikiwa ππ€£π€.Kaka kaka unaijua excel lakini...
πππππππ
Naigopa maana ilinifanya mbaya kwenye data base aiseeee πππππ
πππππππππ Sema inabidi upate usingizi wa kutosha mkuuInakata kinoma watu hawaheshimu fani za watuπ
Pata kahawa ukiwa hapo lindoniLong distance relationships....Afu usiku wa manane hatutaki majungu mkuu...fanya yako tuachie yetu...umekuja leo ondoka leo mkuu
Unakuwa singo, unataka uvumbue nini?
Lengo ni kuburudisha, maisha yaweze kusogea; ukiwa siriazi sana unaweza kuhisi dunia si sehemu salama ya kuishiππππππ Kuna jukwaa flani hivi we jamaa ukauki salout kwako ππππππππ.
Kama unakusanyaga visa vya mapenzi hivi
Sana, kuna kipindi nilitaka nijΓ ribu dawa za usingizi ila kuna daktari mmoja akanipa side effects zake ikabidi nitemane nazo.πππππππππ Sema inabidi upate usingizi wa kutosha mkuu
πππππ Wee pro jobless unayajulia wapi haya....Solving those small question ya huyo tunamba ndo uka changanyikiwa ππ€£π€.
Sija enda shule, but namudu vizuri kiasi chake
Nakubaligi sana maana kila day wee ni visa tuu ππππππLengo ni kuburudisha, maisha yaweze kusogea; ukiwa siriazi sana unaweza kuhisi dunia si sehemu salama ya kuishi
Weee kuna mpya gani kutoka kwa DSVNAisee ntaua mtuπ€ππ€£
Ni utunzi tuNakubaligi sana maana kila day wee ni visa tuu ππππππ
Duuuh inabidi iwe hvo.. fanya upate usingizi wa kutosha hata kwa kufosi...Sana, kuna kipindi nilitaka nijΓ ribu dawa za usingizi ila kuna daktari mmoja akanipa side effects zake ikabidi nitemane nazo.