Jamani jamani...mbona misemo na mizungu usikuusiku🙁12:39 hamjambo popoz
Naona warembo wenu washawakinbia sema moja alishasema amepata bwana hivyo yeye si mshangai
Macho mekundu mno ni ngumu kupata usingiziUsiku sipati usingizi nalala sa 11 alfajiri na kuamka sa 6 mchana kwanini?
Unaumri ganiUsiku sipati usingizi nalala sa 11 alfajiri na kuamka sa 6 mchana kwanini?
🤣🤣🤣 afu Charles tu serious...mi niagizie laptop jamani pleasee12:41 kaka Nina shida na laki 2 sijalipia Kodi nitakatiwa maji na umeme kaka nitumie hiyoo nitakulipa mwisho wa mwezi Mimi mdogo wako mpendwa from mwanza chagamba
[emoji23][emoji23] ayo ni matokeo ya kutopata usingizi usingizi macho yangu yamekua mekundu mno [emoji17]Macho mekundu mno ni ngumu kupata usingizi
kiongozi wenu paganist anasemaje 🤣Paganists
Sina noma nae huyo Binti chagamba number yangu anayo akijiskia kuomba pesa anicheki Nina patikana masaa 24 na nyumbani kwangu kigamboni anapajua piaTunasikitika sisi hadhira 😌
22 yearsUnaumri gani
Ulikopeleka mboga mkuu🤒[emoji23][emoji23] ayo ni matokeo ya kutopata usingizi usingizi macho yangu yamekua mekundu mno [emoji17]
🤣🤣🤣🙌🏿 aisee...tutakomaSina noma nae huyo Binti chagamba number yangu anayo akijiskia kuomba pesa anicheki Nina patikana masaa 24 na nyumbani kwangu kigamboni anapajua pia
Kumbe upo ulikuwa una tu zoom tu😂😂Jamani jamani...mbona misemo na mizungu usikuusiku🙁
Yupo tu hana dhambi wala nini🥴kiongozi wenu paganist anasemaje 🤣
[emoji3166][emoji15]🥱Ulikopeleka mboga mkuu[emoji855]
Labda una mawazo ya kukosa kaziUsiku sipati usingizi nalala sa 11 alfajiri na kuamka sa 6 mchana kwanini?
🤣🤣🤣🤣🙄 niache bhanaKumbe upo ulikuwa una tu zoom tu😂😂
oouk usijari hapa ni sehemu sahihi kwa ajili yako .. ni kupanda juu ya meza tuu, usingizi utakuja wenyewe usihofu22 years
Duh polee sana Itakuwa unaumwa wewe nenda kituo cha afyaUsiku sipati usingizi nalala sa 11 alfajiri na kuamka sa 6 mchana kwanini?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zanguuu😆Labda una mawazo ya kukosa kazi