Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Nachangamsha genge tu hapa sina noma nae huyo labda yeye ndio awe na noma na mietulikubaliana lakini bla blah
😁😂😁😁Naenda anavyotaka yeye 🤣 🤣
We muache akibanebane mwisho kiliwe na nyenyere 😂😁Hiyo inaitwa nipe nikupe [emoji23][emoji23] mpe kijana
Kitaliwa na nyenyere 😂😁Nimeshindwa mkuu😞
Kina mwenyewe hichoWe muache akibanebane mwisho kiliwe na nyenyere 😂😁
😂😂😂 Asante🤣🤣🤣 pole
Kumbe 😂😁Kina mwenyewe hicho
Ugomvi wa ngumu huuKelele za nini benki statement ziongee, ndo utajuwa hata mama ako aki kaa vibaya tuna mlipia mahari
Kaka ni verse yenye ukweli hio, Wanaume wa mikoani hatuna mengiUgomvi wa ngumu huu
Kuna pisi moja matata hapa, iko Urusi inanisaidia kusogeza muda wa lindo1:22 AM Huuu mshangazi ni mtamu sana ipo siku nitauchapa na kuunyonya
Huyo ni mdogo wangu chiefKuna jamaa tulikuwa nae miaka ya 2005 huko makere Kampala tulikuwa tunamuita Mjep ndio wewe Nini?
Safi sana kaka huyo mwambie akupeleke Moscow ukale biaKuna pisi moja matata hapa, iko Urusi inanisaidia kusogeza muda wa lindo