😜 moto unawakaa🤣🤣🤣🥴kwahiyo leo ni kidhungu[emoji38][emoji38],,
Aisee vijana watiifu Hawa taki kufata maelekezo yako🤣🤓.Intelligent businessman Hawa ndo vijana uliotuachia? Wanaaga saa 12 jioni
Hapana siwezi kukusaliti wanguBora nife ....uanze kunitangaza kwamba najifanya kungwi kumbe zero🙄
Sawa sawa🤒Hapana siwezi kukusaliti wangu
😍😍😍Sawa sawa🤒
Hapa sasa ndiyo nimekunyaka sasa🤣🤣🤣Kuomba omba hela za demu wakati unamikono na unajua kutafuta sio fresh
😁😂😁 Una afutatu hapo unitumie Mimi mdogo wako chagamba nataka kununua bando hapa nikirudi mwanza na Tikti yangu ya ndege hapa 😂🤣😁Hapa sasa ndiyo nimekunyaka sasa🤣🤣🤣