12:42 AM Niko fresh kila fresh ile fresh ya shamba
Fresh maujanja, wesh ile fresh inabamba
Fresh kinanda, haukeshi kama hauko fresh umesanda
Ji-refresh zaidi ya Messi akiwa na mechi ya kandanda, agh
12:48 AM Mafanikio hayaji ukikata tamaa
Yenyewe huwafuata wanaojituma
Na wale wasiosukumwa na njaa
Sipigi kila dili mipaka imezingatiwa
Sitaki kuwa tajiri ninataka kufanikiwa