Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Sisi wengine ma jobless pro max, kila siku kwetu ni mihangaiko.Leo ni mapumziko, siku nzuri kabi
Leo jumamosi mkuu, hip jpili ume wrong mzee04:59AM
Sunday
23.03.2024
Hahahahaha mhasibu bana ..bora usome aisee..dahTulioamka kusoma tupo wangapi. Au huu ni uzi wa walinzi tu
Uko vzr ..utakua una mchongoLindo lime fungwa rasmi, Jobless pro max niamke Nika pambabie ugali.
OkSisi wengine ma jobless pro max, kila siku kwetu ni mihangaiko.
Kumpuzika ni siku ya kaburini tu, na huko tuki kuta maelekezo tume Isha.