Ngoja nione itakuaje🤣🤣🤣Kabisa Kabisa....tena tupo wote women from Jamaica🤒
Naona we ndo unaniharibia, dahh uchawi upoHiyo Dili ndio imefanya niamue kukesha leo, mbona kama unataka kuniharibia mkuu? 😅😅
Pamoja sana mwamba🤜🏼Leo tupo wote mkuu
🤣🤣tulia hapohapo mkuu🧐Ngoja nione itakuaje
Sisi wazee tukiwa lindo hatuna mambo mengiWazee ndo nyie Mnao enda virtual world 😂
Sawa mkuu🤣🤣tulia hapohapo mkuu🧐
Amini kwamba, uchawi upo 😅😅😅.....maana siamini huu mchongo umeusanukia vipi. Nilishapanga kusepa na Kijiji kimya kimyaNaona we ndo unaniharibia, dahh uchawi upo
Lindo ndo limeanza mkuuLaleni kuna dili naisikilizia hapa
Tupo mapema sana mwamba...pamoja sana
Yeah man. Jana na leo
Nanjilinjii boy Niko poa kabisa 🤓
Tukishirikiana tunakugeuka lindoni🤒Nawakumbusha tu lindo liko salama..afande mjeda niko kamili
bro SI useme Sasa hivi, hiyo Jana ya wapi 😂Yeah man. Jana na leo
Nakubali nakubaliiiiiiiiTupo mapema sana mwamba...pamoja sana
Nakubali nakubali sana..😂😂👊👊👊👊👊👊Yeah man. Jana na leo
Yule nyati mlimfanya ninj kaka ahahahahhahahaNanjilinjii boy Niko poa kabisa 🤓
Sema una taka kuiba share za Walinzi🤓😂, Nime isanukia hiyo🤣Yeah, leo nitasimamia ulinzi wa ili eneo......mnaweza kwenda kulala 😅