Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kipindi hicho alikuwepoHahahahaha..
Ahahahahahaa 😂😂😂😂😂4:19 AM Jana mida kama hii nikasema nisile Daku niskilizie hadi saa 10 na Nusu,,, nikapitiwa na usingizi kwenye Kochi kushtuka saa 2 Asubuhi kidogo nilie…
Leo sirudii huo ukhanithi nakula sasa hivi 😂
Tunakula daku la wakubwa4:21 AM Amkeni mle daku ☺️☺️
Amkeeeni kwanini mnalala hadi saivi kwani nyie mna hela?😄😄
Astaghafirullah 😁🤣Tunakula daku la wakubwa
Naunga mkono hoja 🤣😁😁Ahahahahahaa 😂😂😂😂😂
Kuna watu wanakula yaan ile ana maliza tuu dakika mbili na adhana hii hapa 😂😂😂😂
Watu ni very matured kwenye timing
NiniAstaghafirullah 😁🤣
Shekhe unakula tunda mwezi mtukufu wa Ramadan shekheNini
La haula astaghafirullahSio daku tu hata kufuturu pia inaruhusiwa..vijana mliokariri dini mnasu.bua sana
Daku langu usingizi tu 😊
HahahahahaDaku langu usingizi tu 😊
Sheihk mie BuddhaShekhe unakula tunda mwezi mtukufu wa Ramadan shekhe
Kumbe ndio maanaSheihk mie Buddha
Mrembo wangu
Hope uko poaMrembo wangu