Hahahahaha..haya jirani kama umeamua kupumzika , utaniambia siku ukiamua jirani wala usijari
Tunaendelea salama kabisa jiranisawa na huu ndio ujiran mwema,, vip lakin hapo kwako mnaendeleaje?
Wife kikubwa ufike salama nyumbani. Saivi nimekununulia na lile gari ulilosema unalipendayani umeanza kunigeuzia kibao si ndio, au niseme matendo yako machungu unayo nitendea??
Tunaendelea salama kabisa jirani
Wife kikubwa ufike salama nyumbani. Saivi nimekununulia na lile gari ulilosema unalipenda
Hahahahaha..nyie malizaneni kwa heri jiranisawa jiran jambo jema kabisa,, sisi tupoo ndo nimefika kutoka safarin namsubiri huyu raia arudi tumalizane kila mtu abaki na maisha yake[emoji17]
Hahahahaha..nyie malizaneni kwa heri jirani
I swear this will be the last time. It won't happen again my lovesitaki naomb niache[emoji24][emoji24] mi najitahid kujeng ila mwenzangu unabomoa tu,, hiz nyama nyama za makalio ya wanawake ndo zinakuchangany umeshindwa kutulia na mim si ndio
Haya hayo yenu mimi hayanihusuhaiwezi ikawa heri hata kidogo bora angenambia mapema
Jua kali mnohahaha, nime mkumbuka Dahan, Nita mtafuta nimsalimie Kidogo 😀
I swear this will be the last time. It won't happen again my love
Mchana hua unafanya nnHahaha, kulala ni starehe kwa watu wengine, Mimi Nina mambo mengi mkuu.
Hata Kama nataka kulala, muda SI rafiki wa Jambo hilo
Beibiii tuliapa mpaka kifo umeshasahau mara hii?just leave me, sitaki kuskia tena uongo wako nimekuvumilia sana lakin hautambui thaman yangu kwako[emoji24] niache
Haya hayo yenu mimi hayanihusu
Beibiii tuliapa mpaka kifo umeshasahau mara hii?
Nimezunguka kote huko sijaona kama wewe. You're the best among all.sitaki kukumbuka chochote unanitesa, we nenda kwa umpendaye nimekuruhusu
🤣🤣🤣mpaka nivimbiwehahahah kwangu anatoa kiduchuu ila ikitokea umem-bless atatoa zoote mpka aishiwe maji mwilini[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan atafukuzwa na huku kwangu🤒sitaki kukumbuka chochote unanitesa, we nenda kwa umpendaye nimekuruhusu