Kama bado unadis mtu unakosea mpenz....just be cool please9:43 PM Jamaa anajifanya anajua Kila kitu ππ€£π€£ππ€£π€£ππ
π³utajijua....kwanza huo usiku unaoupigania mbona Unakuwa umeshalala πMnazingua. Usiku wa manane bado.
Hapana hiyo ni nyimbo kaimba ngosha fid QKama bado unadis mtu unakosea mpenz....just be cool please
majukumu yananilemeaππ³utajijua....kwanza huo usiku unaoupigania mbona Unakuwa umeshalala π
That's why I love you π₯°πwow nakusameh bt hii itakuwa onyo la mwisho i swear
Pole sana mkuuSipo fresh nimekunywa bia mchana now vidonda vya tumbo vinanitesa hapaπ₯Ίπ₯Ίππ
Round hii hachomoki kabisaKina 50 cent walisha sema toka zamani, kuwa p Diddy sio mtu mzuri.
Angalia alivyo kuwa ana mtreat cassie, Kama Malaya aisee.
Kesi ya Tupac nayo Ika fukuta upya, Ika semekana yeye ndo ali mlipa muuaji.
sema asinge kuwa na hela, ange ozea jela, maana private jet ndo ime msaidia kukimbia.
Picha za CCTV zili onesha mwamba ana wasiwasi kinyama
That's why I love you [emoji3059][emoji9]
Naunga mkono hojaPole sana mkuu
Itabidi tuandae kikao cha kukusema uache pombe. Kikubwa andaa hata kreti tatu za C. Lite tuiache kabisa
Wiki ijayo tuandae party tuwakaribishe home. Usimsahau yule mzee sangomalov yu zaidii[emoji3590][emoji3590],, da kidote na hope naombeni mnisamehe[emoji1787][emoji1787] nimerudi nilikotoka uwii[emoji2960] sijui nitawatizamaje
Umekuwa mkubwa sasa tuanze kukutumia bila chumviπmajukumu yananilemeaπ
Wiki ijayo tuandae party tuwakaribishe home. Usimsahau yule mzee sangoma
Beibii kama ni huyu hana baya nimepanga nimhamishie mjini atulize akili wakati anasubiri mafao yakebeiby[emoji23] hiv ni babu yangu kipenz ndo unamuita sangoma[emoji1787][emoji1787]? shauri lako mi simo
Nawe pia kipenzi enjoy life kwenye shida fungukampenz shadow, dad ang to yeye kidoti, rafik angu hope, babu yang G, jiran yangu mandala na shemej yangu V, nawashukur jamn kwa uwepo wenu kwang kwa hiz sik mbili tatu for sure napata amani mnooo nikiwa humu kuliko ninapo kuwa mtaani[emoji17] am going through alot kweny akil yangu ilaa mmekua faraj kwang bila ninyi kutambua
Mungu awalinde na aendelee kuwatunza kwa ajir yang na familia zenu..... leo nawaacha mapema maan kichwa chang hakip saw ila nawasihi tuzidi kupendana na kuombeana kheri
tuonane kesho panapo majaliwa: Let show love while we still alive not in death all for love[emoji3590]......
mshamba, half america na member wote muwe na usik mwema