Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Weweeeeeeh ...Leo nitakuwa mbeya pazuri na Shadow7
Unyama ni mwingi...Mambo vipi kaka
Aloooh weeeeh..Hapana hapana...sikuzote twatakiwa kuwa na mpenz mmoja
Kabisa kaka nipo nasubiria timu yangu pendwa jumamosi ifanye kweliiiUnyama ni mwingi...
Naona una wenge kaka ume chill tuu
ππππππ
Dogo anaumwa nadhani tumuhurumie eti?Hatutaki ushahidiπ
πππππππππ Safi safi tupo pamoja mkuu...Kabisa kaka nipo nasubiria timu yangu pendwa jumamosi ifanye kweliii
Au aje tuDogo anaumwa nadhani tumuhurumie eti?
Naunga mkono hojaDogo anaumwa nadhani tumuhurumie eti?
YeahNaunga mkono hoja
Health & Children11:10 PM At your age, what's the perfect gift?
Hongera sanaHealth & Children
Asante sanaHongera sana
Mi mwenzio shule sija enda, hiyo principal ndi nini ππ€Prove kama wewe ni jobless by using First principal
π€£π€£π€£π³ umekuja kwa gia kaliππΏngoja nikaoge chap
saa sita kamili niwe hapa na ki-note book changu, nianze kutick majina
Muulize mshamba achekwi sijui ππππMi mwenzio shule sija enda, hiyo principal ndi nini ππ€
Basi tawire, wali nawa kula, kuja kushituka ni maweππMuulize mshamba achekwi sijui ππππ
Supu ya mawe.....Basi tawire, wali nawa kula, kuja kushituka ni maweππ