Tunapokezana tuu . na wewe sasa hivi unakoromaa. SAA 08:39dark angel najua saa hz unakoroma huku umejikunyata, sasa mm saa hz kumi na moja ndio nataka nilale..
Tunapokezana tuu . na wewe sasa hivi unakoromaa. SAA 08:39
afande lindo vip leo?Aliye lindoni karibu tuupitishe usiku pamoja
Tupo pamoja mkuuAliye lindoni karibu tuupitishe usiku pamoja
Tunapokezana tuu . na wewe sasa hivi unakoromaa. SAA 08:39
Halafu wewe na ile mikaburi ya 2015 uliyofukua[emoji41][emoji41]Ndio naamka saa hz hahaaaaa
Zamu ya lindo.haya hayaaa
ma afande haoooo
tumekuja
Kama kawaida nahesabu mabatii hadi huu mudaNjoo tukeshe tena bibie..
Halafu wewe na ile mikaburi ya 2015 uliyofukua[emoji41][emoji41]
Kama kawaida nahesabu mabatii hadi huu muda
Ha ha ha kati ya maiti zote umeona ile ndiyo inafaa kufufuliwa?Hakyamama ww ni wife material kwangu aisee..
Ha ha ha kati ya maiti zote umeona ile ndiyo inafaa kufufuliwa?
poaZamu ya lindo.
Mambo
tupoooouwHahahha Leo mapopo hampo eti?
Mapeema mmesha lala
Haya banaNilipenda tu niifukue ile maana ilinivutia..
poa
nambie malaika mweusi