Safi🙏🏽Naungana na wakristo wote Leo ijumaa kuu hatuli nyama
Mi ni mmoraviani mbonaIla hii nadhani ni kwa watu wa RC pekee?
Basi wote tusile nyama tuanze keshoMi ni mmoraviani mbona
Ndiyo jitahidi bas tafadhaliBasi wote tusile nyama tuanze kesho
Sawa mammyNdiyo jitahidi bas tafadhali
Asante sana mukubwa
Mwanakondoo ameshindaMi ni mmoraviani mbona
Hapana sio mkorofi mbona ni kapole sana yaaniKakorofi hako ngoja kaje
Vin himselfHello 👋👋🤩😍 Raine Col
Kakorofi hako ngoja kaje
Sameja mi lioness(Hungry predator) nawinda 😀 😀 😀 Vincenzo Jr UsiyakanyageHapana sio mkorofi mbona ni kapole sana yaani
TumfuateMwanakondoo ameshinda
Unamaanisha mvua au upo kumwaga maji?
Mvua dearUnamaanisha mvua au upo kumwaga maji?
Kuna mgahawa mkubwa tu, sijui ni wakristo nao. Leo hawaja pika nyama kabisa 🤣🤓Naungana na wakristo wote Leo ijumaa kuu hatuli nyama
Location gani mkuu?Kuna mgahawa mkubwa tu, sijui ni wakristo nao. Leo hawaja pika nyama kabisa 🤣🤓
Mzee mi Niko nanjilinjii Ndani Ndani 🤓🤓Location gani mkuu?
Ndo nime ingia home mkuu, Jana nilikuwa kipande kingine kabisa