Sawa taarifa nitamfikishiaHapo Sawa.asisahau karanga na mihogo
I miss youAbee,nambie Kamanda...umepotea mwee😞
Tatizo walianza kutuvua nguo mapema na kuidhalilisha nchi yetu kwa kuposti ile picha mno ...nasi Simba ni wazalendo😪Mmeshindwa hata kuwaloga? 😂
Hunikubali(gi) sameja nilikua sempay ila soon napanda nakua Sensei kuna dojo nimelipataService girl na ninajua ulivaa siku ya kuapa tu🤣
Miss you too ndo nipo hapa mjepI miss you
Wametukosea sana watanzaniaTatizo walianza kutuvua nguo mapema na kuidhalilisha nchi yetu kwa kuposti ile picha mno ...nasi Simba ni wazalendo😪
Wapi hapo mbona hujanishtua we kuruti😂Hunikubali(gi) sameja nilikua sempay ila soon napanda nakua Sensei kuna dojo nimelipata
Sana yaanWametukosea sana watanzania
nimeelekezwa magereza dodomaWapi hapo mbona hujanishtua we kuruti😂
Huko pagumu ila kakomaenimeelekezwa magereza dodoma
kwani pale tmk sio tanzaniaTatizo walianza kutuvua nguo mapema na kuidhalilisha nchi yetu kwa kuposti ile picha mno ...nasi Simba ni wazalendo😪
na mapuuza yangu haya, najua scale yangu itakua yakizalendoHuko pagumu ila kakomae
Ni Tanzaniakwani pale tmk sio tanzania
Nakuombea ukifika huko ukutane na scale kiwango cha lamina mapuuza yangu haya, najua scale yangu itakua yakizalendo
Bado mna game moja mkononi. Kafanyeni wondersSana yaan
ubaya huo samejaNakuombea ukifika huko ukutane na scale kiwango cha lami
Nawe pia mkuuHave a coolnight....everybody!✌️