Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mkuu hao USI ulize, ni vijana ambao sio matured kabisa.Mkuu why unafanya haya yote?
Sawa mkuuMkuu hao USI ulize, ni vijana ambao sio matured kabisa.
Hapo ana tafuta attention isiyo na msingi kabisa.
Young Africans Katika Kuliwakilisha Taifakwahiyo nyote mpo kweny mpira au
π₯π₯π₯Wale tunawafungia kwao
Naunga mkono hojaWale tunawafungia kwao
Aucho Pacome & Yao Watakuwepo Huyo Mamelod Atapigwa Kama Ngoma Maana Mlimsujudu Sana.dakik 90+ zimeisha shadow wangu umeshindwa kufunga goli hata moja[emoji23]
Halafu huyu unamjua kabisa na ukiambiwa hutaamini sameja nimemdharau sanaMkuu why unafanya haya yote?
Naunga mkono hoja kakaAucho Pacome & Yao Watakuwepo Huyo Mamelod Atapigwa Kama Ngoma Maana Mlimsujudu Sana.
Kwa Kikosi Tulichochezesha Leo Tungecheza Na Al Ahly Angepata Ushindi Kirahisi Sana.
Sasa Subiri Mamelod Tunaenda Mfunga Kwake Pale Pale Kwa Madiba