JamiiForums Usiku wa manane

Nafunga geti[emoji358] [emoji358] [emoji358] [emoji358] [emoji358] [emoji358] [emoji358] [emoji358] [emoji359] [emoji359] [emoji359] [emoji359] [emoji359] [emoji359] [emoji359]
Njoo ufunge na leo, watu washaenda makazini
 
Wewe fumba macho tu, ila geti nilisha funga toka saa9 jana ulidai saa7 unakuja sijui ukapotelea wap
Natamani refari ningekuwepo mida hii ili nichochee huu moto wa kiangazi [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nilirud rafik angu macho yakagoma kunipa ushirikiano kwa ajil ya mwanga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kabisa hali yangu mbaya mvua zimejibu aiseeh [emoji6]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Hongera sana, sasa nani kaijibisha baby,mpenzi,mume,mchepuko au jirani? (maana kuna kipindi nasikia ulihamia kwa jirani yakokwa siku 3 mfululizo kisa inaogopa radi) [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji356] [emoji356] [emoji356] [emoji359] [emoji359] [emoji359] [emoji357] [emoji357] [emoji357] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…