Kwani yeye anapenda kusifiwa sana?Nilijua mama yangu
Umeamka salama mkuu😎Ndo ivo cute
Sio sanaaaaa😂Kwani yeye anapenda kusifiwa sana?
Masha AllahMie tayari nishasali, nasubir fajri tu hapa
Karibu sana kigamboni shemejiMualiko muhimu jaman
Uko wapi? au popote unafikaMualiko muhimu jaman
Karibu sana mkuuMualiko muhimu jaman
Na Mkwepu Jr? Naona ndoa imemshinda leo Nampa talakaSameja umekua sukari sana, nimemkuta mahi wako mnazi huko anabebishwa ndembendembe na mr malike
Mungu ni mwema. Pasaka inaenda vizuriWazeee sikukuuu imekuwa ya baraka hiii mvuaaa inanyesha leoo alhamdullilah ☺️🙏
Mbeya huku kama wamemwaga vileWazeee sikukuuu imekuwa ya baraka hiii mvuaaa inanyesha leoo alhamdullilah ☺️🙏
Nipe location nije chapuKaribu sana mkuu
Niko poa Kabisa mkuu🥴Umeamka salama mkuu😎
Baraka hiyo sikukuuu imekuwa nzuri sana hiiMbeya huku kama wamemwaga vile
Mvua ndyo raha kama mpo jinsia mbili tofauti ndani hakuna kutokaWazeee sikukuuu imekuwa ya baraka hiii mvuaaa inanyesha leoo alhamdullilah ☺️🙏
Mh☹️🙄Baraka hiyo sikukuuu imekuwa nzuri sana hii