Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Location tu nipe nawasha chuma fastaUko wapi? au popote unafika
Huku Kaliua ndani ndani utafika?Nipe location nije chapu
NakaziaMvua ndyo raha kama mpo jinsia mbili tofauti ndani hakuna kutoka
Jambo la kheriNiko poa Kabisa mkuu🥴
Kaliua tena mje mniueHuku Kaliua ndani ndani utafika?
KigamboniKitimoto tunakula wapi ?
Sehemu ganiKigamboni
Acha ubaya ndugu...you are a man ujueNdugu yangu mmoja Leo anasherekea sikukuuu akiwa gerezan
Hiyo ni nyimbo kaimba madeeAcha ubaya ndugu...you are a man ujue
VizuriHiyo ni nyimbo kaimba madee
Container barSehemu gani
Inaitwa nipe ripotiVizuri
Winnone nimepewa taarifa zake ananisaliti... hapa nasubiri Pasaka iishe nimpe talaka
Hii ndo ipo wapi? Nunge, Soweto, au ferry?Container bar
Ferry hiyooo kakaHii ndo ipo wapi? Nunge, Soweto, au ferry?