Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
SafiContainer bar
Yule mtakae muacha nipeni mimiWinnone nimepewa taarifa zake ananisaliti... hapa nasubiri Pasaka iishe nimpe talaka
Karibuni sana wakuuuNoted. Tutakuja hapo na Winnone siku nyingine
Ameniumiza sana ajiandae na talaka tuπ€£π€£π€£akimpembua mashavuπ jamani hii kesi ipo kuniangukia aisee....huu mdomo huu
Yupi huyo?Yule mtakae muacha nipeni mimi
Ahsante sanaKaribuni sana wakuuu
Hapana yajengeniAmeniumiza sana ajiandae na talaka tu
Hahahahaha...yoyote yuleYupi huyo?
Ushafungua code πππHapana yajengeni
Hahahahaha nipe mm huyo usiyemtakaAmeniumiza sana ajiandae na talaka tu
π€£π€£afu nimeropoka tuUshafungua code πππ
Kuna jamaa hapa ni wakiume anadai yupo singo na yeye anaruhusiwa kuja?Kwa aliye singo km mimi..namkaribisha Dynasty Beach..Ununio tutoe stress na pasaka hii
Mkuuu hapo napaelewa sana yaani full luxury aisee mwaka jana nilifika hapoKwa aliye singo km mimi..namkaribisha Dynasty Beach..Ununio tutoe stress na pasaka hii
π€£π€£π€£π€£π€£ππΏKuna jamaa hapa ni wakiume anadai yupo singo na yeye anaruhusiwa kuja?
Hahahahaha..huyo haruhusiwiKuna jamaa hapa ni wakiume anadai yupo singo na yeye anaruhusiwa kuja?
πππ€£ππππ€£π€£afu nimeropoka tu
Hahahahaha...unaniharibia mbn mkuuWinnone huyu ndo shemeji unayemuamini?