Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Huyo jamaa namuona humu Toka juzi sijui ni muhuni Gani yule ila tutamjua tu hapa π€£Vincenzo Jr tutafutiee yule mtu mupya .. mrembo Hope amemiss story zake
πVincenzo Jr tutafutiee yule mtu mupya .. mrembo Hope amemiss story zake
Kamtafute we upo sharp halaf kona zote unazijua humuHuyo jamaa namuona humu Toka juzi sijui ni muhuni Gani yule ila tutamjua tu hapa π€£
Uzuri mod wakiona Id zinnafanana wanaunga sijui ni nani yule mdauπ
Naona kashakuja hapaKamtafute we upo sharp halaf kona zote unazijua humu
Mdogo wangu una Id ngapi?Mmenikataa mnanitajia nn
DuhMmenikataa mnanitajia nn
10 mkubwa hahahaMdogo wangu una Id ngapi?
Hope urassa wenzetu mlibinafsisha mbingu mkapata wanaume, sijui sisi tumepata kitu ganiNaona kashakuja hapa
Duh π€£ππ10 mkubwa hahaha
π
Wacute wote hapa tungekuwa ubavu wako bila wivu kama ungekuja na I'd yako.. dealNdio nmeingia mnatakaje
HhahahaaaSamahani nliowatongoza ni kweli jana nlikuwa bwax mkiona nachart ujinga mjue nmegonga nyavu
Nlmaanisha ila sio kwa njia nliyoitumia