Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Dah huyo tunampa kick tuHope urassa wenzetu mlibinafsisha mbingu mkapata wanaume, sijui sisi tumepata kitu gani
Samahani ya nini? simba kuwinda ni nature yakeSamahani nliowatongoza ni kweli jana nlikuwa bwax mkiona nachart ujinga mjue nmegonga nyavu
Nlmaanisha ila sio kwa njia nliyoitumia
wewe huyoDah huyo tunampa kick tu
Eeh..wakuu kama mshaanza kuja na id zingine..mie mnanikosa kwa kweliMdogo wangu una Id ngapi?
Njoo na I'd yako , yaani tunakutaja na unatokelezea kama umemeπππwewe huyo
Naunga mkono hoja jamaa anazingua sanaEeh..wakuu kama mshaanza kuja na id zingine..mie mnanikosa kwa kweli
Na uzi mnaenda kuuharibu huu
Niwatakie maisha mema
Ndiyo outcome za agenda za vikao mnavyohudhuria huko kiumeni.Eeh..wakuu kama mshaanza kuja na id zingine..mie mnanikosa kwa kweli
Na uzi mnaenda kuuharibu huu
Niwatakie maisha mema
ππ€£πππππNdiyo outcome za agenda za vikao mnavyohudhuria huko kiumeni.
Usiku wa manane upo siku zote
khaaa! nilishikwa na bumbuazi na ile speed, lakin Hope kwaniniNjoo na I'd yako , yaani tunakutaja na unatokelezea kama umemeπππ
Jamaaa naona kapotea Tenakhaaa! nilishikwa na bumbuazi na ile speed, lakin Hope kwanini
Maybe wameungana na yule babu kunirogaAmekushika nini husikii kitu oote sameja
π€£ππππMaybe wameungana na yule babu kuniroga
Nenda na wanaoenda sambamba hao wanaoharibu ni ku (ignore) tuEeh..wakuu kama mshaanza kuja na id zingine..mie mnanikosa kwa kweli
Na uzi mnaenda kuuharibu huu
Niwatakie maisha mema
Soon mods wataunganisha IdJamaaa naona kapotea Tena
Kabisa we muache watamla kichwa mda si mrefuSoon mods wataunganisha Id
Jamaa akirudi mnitag asehπ€£ππππ
Naunga mkono hojaNenda na wanaoenda sambamba hao wanaoharibu ni ku (ignore) tu
Akija nakutag mkuuuJamaa akirudi mnitag aseh