Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Sipendi wanene sitaki hela zaoSifa ya kuitwa mshangazi mjini uwe na hela , tajiri au uwe mnene , likikushika hili mshamba_hachekwi huchomoki ndugu
We kazi yako ni moja tu kwake
Lala soldier kesho parade23:44
usingizi ni anasa kwetu walinzi tutalala kwetuLala soldier kesho parade
Kalale tu tutafungulia mbwa usijali😂usingizi ni anasa kwetu walinzi tutalala kwetu
Nasikia mbwa alikimbia mabio akakimbilia polisiKalale tu tutafungulia mbwa usijali😂
Ile rungu imekaa kama L inaitwaje?Nasikia mbwa alikimbia mabio akakimbilia polisi
silikumbuki badoIle rungu imekaa kama L inaitwaje?
Unambabua nayo😆