Karibu sanaSijaripoti hapa muda mrefu sana, leo nipo lindo.
Ndioo MkuuAsante mkuu, wale mapopo kina Chakorii siku hizi hawakeshi?
Bora umekuja tulinde aisee02:06
Waamshe wale daku jamani.Ndioo Mkuu
ππ€£ππWaamshe wale daku jamani.
Afu zile ngoma za zamani za kumashana kula daku hazipo kabisa siku hizi.Nimemisi sana aiseeππ€£ππ
Karibu lindo mdau,Zungukia upande ule mwingine.2:16
yaan sijui wana mpango ganiMBWA hawa wamekata Umeme saivi .
Huku nilipo Umeme umekatika tangu saa 7 usiku π03:36
Dodoma nzima hakuna umeme.
Nusu saa sahv.