Twende the boardroom hapo Sinza, Wana supu nzuri lakini mazingira rafiki 🤗Supu nzito tunanywea wapi babu?
Twende the boardroom hapo Sinza, Wana supu nzuri lakini mazingira rafiki [emoji847]
Saa 4 asubuhi nitakuwa hapo Mjukuu 🤗Sawa babu tukutane hapo
Kwa baridi ya jana alinambia nipumzike
Kwa baridi ya jana alinambia nipumzike
Jana tulichoka sana... labda leo tutabaki lindomwambie ndo tunaamka dear[emoji38]
Kwema mkuu Habari yakoKwema hapa ndani
Jana tulichoka sana... labda leo tutabaki lindo
Sema umetumiss unatuita kijanja,mwenzenu nimeyatimba em kujeni mnipe ushauri wa haraka plziiii
Sema umetumiss unatuita kijanja,
Umefumaniwa au[emoji95]
Nipo mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwakwel nimewamis mnoooo
Nipo mimi
I miss you toosio mbaya nilikumis pia la mama
I miss you too