hakuna aliyelala hao wameenda kukusanya tongotongo tuEti Kuna watu wanajifanya wamelala muda huu,Mmelala mmejiegeshaaa?na Beyonce afanyaje mkilala nyie....mfyuuuu
π π ππ Naunga mkono(juhudi) ugali wangu usipoteeunga mkono juhudi boss arudi na utamu wake or new I'd has taken over ππππ€£π€£π
ππ€£πhuyo Vin tutamrudia tu team Elon hatujawahi kuwa kinyonge wallah π€£π€£π€£
π€£π€£π€£π€£Kabisaa,yaani wanawaza na kuwazua huku wamefumba macho wafumbue tu tujiunge nao hapahakuna aliyelala hao wameenda kukusanya tongotongo tu
Detail change.01:27 am muzle down π
Wengine tulienda kuogaEti Kuna watu wanajifanya wamelala muda huu,Mmelala mmejiegeshaaa?na Beyonce afanyaje mkilala nyie....mfyuuuu
Inshallah anaendelea vizuriVincenzo Jr aunt etu anaendeleaje jamani yule aliyezaliwa usiku wa manane
MKuu leo upo kitengo gani01:26 kazi kaz
Control roomMKuu leo upo kitengo gani
Mm nipo chumba chajawazito.
na sabuni yako ya kipande na kopo la maji la kubeba mkononi unasema unaoga? hapo unakoga tu huogi VinππππWengine tulienda kuoga
nipo full time mida ya manane namuombea hope detail changeDetail change.