Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Thanks shemeji yangu msalimie shadowniko fresh qabisaaa nilikumis mnoo
ban?, ulifanya nni tena jamn.... alf kule ulikua mchachuuu ila hapa umepoa poa[emoji38]
Dah watoto walimvuruga na yeye akajivuruga haha haaaa hatar sana. Anyway tujifunze kuwa na stara nadhan hatutapungukiwa kituBoss walimchanganya makusudi..
Nae akaja mazima daah πππππππ
πππππππ Anasema hivi...Msalimie fyucha bill.
Ujumbe maisha ni kutafuta na sio kutafutana.
Ndio ile ulikuja nayo pm ππ kama lile song la Fally ipupa maria pm ππ€£π
kuna shetani alikatisha mbele yangu nikamsindikiza na kofi. and she will suffer
Naam tajiri kashasema nani apinge?πππππππ Anasema hivi...
"" Tusitafute pesa, ila tutafute pesa za kutosha""
Hakwenda depo yule kunyooshwa..Dah watoto walimvuruga na yeye akajivuruga haha haaaa hatar sana. Anyway tujifunze kuwa na stara nadhan hatutapungukiwa kitu
Natoa hudumaUnafanya nn huko mkuu...
ππ
π kuna watu mna nguvu hadi yakumpiga kofi bwana shettykuna shetani alikatisha mbele yangu nikamsindikiza na kofi. and she will suffer
Duuuh ππππππNatoa huduma
KUosha na kuandaa kwaajil ya kwenda.............
π€£πππππDah basi acha na mm nisije mtania mama yake bureπ€£π€£π€£
Mwaka wako huu...[emoji445] akiyumba nayumba
... naenda nae sambamba[emoji445]
0002
π€£ππππππ Nilicheka sana ile siku maria pm π
Maji ukihitaji usisite kunionaAstaghafirullah
usinichimbe sana miss portable,huuuuuh... em nisimulie kidog bas bado sijaelewa ilikuaj mpka ukampa za uso?! ulishindwa kujizuia
Duh kaka hiyo kazi aiseee hivi hawakuitagi usiku haoMaji ukihitaji usisite kuniona