Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Baridi la dom na upepo ni balaa tupu.12:13
Dodoma muda huu kuna mvua.
Kuna baridi la kufa mtu leo.
....sijui nifanyaje...π€π€π€!!!
Acha ugomvi kijana... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una jua sahvi tuking'oana meno hayaoti tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo pamoja...Hapo Njema Sana Mkuu.
Kwenye Kimvua Hiki Mbona Penyewe Sasa Usisababishe Ndugu Yetu Huko Amwage Hadi Ubongo.π12:13
Dodoma muda huu kuna mvua.
Kuna baridi la kufa mtu leo.
....sijui nifanyaje...π€π€π€!!!
Hata Dakika 10 Mbele Sitoboi MkuuTupo pamoja...
Mda gani unatuachia lindo mkuu hapa jukwaani..
Ukitaka kujua nipo fasta,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] samaleko 0018
MM na wewe tena yan hapa kamiss Chizi Maarifa na Mzee wa kupambaniaMapema kabisaaaa ππππππ
Umejuaje
πππππ Ndo wale wa kufata ratiba ya kulala masaa 8 mkuu ππHata Dakika 10 Mbele Sitoboi Mkuu
12:13
Dodoma muda huu kuna mvua.
Kuna baridi la kufa mtu leo.
....sijui nifanyaje...π€π€π€!!!
Madame B dodoma ipi hiyo...
Nkuhungu, majengo, area c, mipango, ntyuka..... Etc
Wapi hapoooo ππππ
Njooni ilazo hapa tujenge nchiBaridi la dom na upepo ni balaa tupu.
πππππππππππMM na wewe tena yan hapa kamiss Chizi Maarifa na Mzee wa kupambania
Dah kweli ni taifa haswaπππππππππππ
Unaambiwa hilo taifa halina bendera
Ila ni serikali tosha hapa πππ
π nchi inajengwa na vilevi sio?Njooni ilazo hapa tujenge nchi
Fanya hivi.. mnipitie 4wayNjooni ilazo hapa tujenge nchi
Acha ubahili....ππππ nchi inajengwa na vilevi sio?
we nenda ukalale nalaFanya hivi.. mnipitie 4way
Walizani choo cha kukaa, ....00:22. Hawawezi kwenda haja ndogo wamesimama.... Ila wana uwezo wa kufanya sisi tunachofanya