Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mwaka juzi june nlikua marangu, aseee ile baridi....ngiri nje nje, blanket 2 ila bado ni baridi hapana aseeeJoto kuna namna ya kuliondosha ila baridi ni hatari zaidi.
Daah... Kwa nini? Mbona chizi maarifa mtu poa sana?ππππππ Bora mimi ila huyo Chizi Maarifa ππππ
Hapana aiseeee
Heeeeh. ...... Jamani mbona hamnidadavuliii mnachongeleaMM na wewe tena yan hapa kamiss Chizi Maarifa na Mzee wa kupambania
Uwiii...ndo nashtuka sahzNjooni ilazo hapa tujenge nchi
Bwana angu huyu msanii sana.Kwenye Kimvua Hiki Mbona Penyewe Sasa Usisababishe Ndugu Yetu Huko Amwage Hadi Ubongo.π
Yaani yale manyunyu, ghafla ikaanza kama masikhara.Baridi la dom na upepo ni balaa tupu.
Mtu wangu yuko hapa pembeni.Hauna mtu ?