JamiiForums Usiku wa manane

jesu! hatujaonana mda mrefu that iz wai alitaka kuniona nikiwa naked,, lakin sio naked hiy unayo ifikilia....
naomb usinichonganishe na shadow wang
unaijua naked nayoifikiria?🤣🤣🤣 na ndo unaongea umejilegeza vile mahi nehi nehi🤣🤣🤣 To yeye atamfaa sameja wangu
 
He is a man yeye ndo anajua moyo wake umelala wapi? Kama atasema anayenipa mbuzi kagoma bas mie ni kujibebea virago tu kwa kweli[emoji19]

unataka aseme mara ngapi lakin,, he love you so much ila haujawai kumkubali, mi i lavu him bt him love you.. yupo kwang becz yu refuse to be with him
 
mi win.... kwa akili zangu mwenyewe bila kushurutishwa na mtu nimekubali kumuacha....... aaah hapan siwez siwez siwez.....,,,, he iz only mine sikotayal kumuacha bwana hata msemeje
aaaah bt why kofosi[emoji31]......

shadow na da kidoti nimewaacha huru kuwen na penz la amani...........
kwanzia sasa niko singo sitaki tena kujihusisha na mapenzi nayachukia[emoji17][emoji29][emoji29][emoji29]

jiran na rain naomb muandae shereh mchome na nyama huko mliko[emoji57][emoji57]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…