🤣🤣mie nimeacha kuzisoma kabisa aisee...kuchorana tuYani siku hizi kukuta Mafuriko ya PM zisizo eleweka ni kawaida tu unawaambia uwanja ni wa kutolea stress tu,
Siwezi pata stress utumishi(ni), mtaa(ni), ukoo(ni), na humu pia neh neh humu tunyooshe mbavu tu🤣🤣🤣 nimekuja gundua ni mtu anaipenda furaha kuliko kula....ngoja nimfurahishe
hey amico6:55 PM hello amigos
🤣🤣mwambie
kabisa kabisa loveSiwezi pata stress utumishi(ni), mtaa(ni), ukoo(ni), na humu pia neh neh humu tunyooshe mbavu tu
Hola, mi amor como estas?hey amico
Yani siku hizi kukuta Mafuriko ya PM zisizo eleweka ni kawaida tu unawaambia uwanja ni wa kutolea stress tu,
Poleni sana. Kikubwa mjibu tu PM zetu🤣🤣mie nimeacha kuzisoma kabisa aisee...kuchorana tu
Hola, me ensanta la Musica, futbol americanoHola, mi amor como estas?
FelicidadesHola, me ensanta la Musica, futbol americano
Mkuu usitumie Google twende kavu kavu. Deal?Felicidades
Si amigoMkuu usitumie Google twende kavu kavu. Deal?
Apo umesema unavyo penda nikajibu hongera 😁🤣😁Mkuu usitumie Google twende kavu kavu. Deal?
Kuna kipindi niliwahi kusoma kihispaniola Sema nikaja kupiga chini baada ya kazi kua nyingiApo umesema unavyo penda nikajibu hongera 😁🤣😁
🤣🤣🤣Poleni sana. Kikubwa mjibu tu PM zetu
Mvua inanyesha balaa🤒Kuna kipindi niliwahi kusoma kihispaniola Sema nikaja kupiga chini baada ya kazi kua nyingi
Pole kaka aisee Mimi najua cha kuokoteza tu 😂 Kuna dada huku kigamboni alitufundishaga pamoja na kifaransa na lingalaKuna kipindi niliwahi kusoma kihispaniola Sema nikaja kupiga chini baada ya kazi kua nyingi
Kuweni na huruma na vijana jamani hamuoni Hali ya hewa hiii 😁😂😁😁
Hongereni sana watu wa green city mshindwe kulima wenyeweMvua inanyesha balaa🤒