Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Na joto la jambo lileHili baridi linafaa upate makande, ndizi nyama za motooo☺
Sijui kama mahindi yangu shambani hayajaozaHongereni sana watu wa green city mshindwe kulima wenyewe
Hongera sana mkuu kwenye haya maisha ni vizuri ukajifunza lugha zaidi ya mojaPole kaka aisee Mimi najua cha kuokoteza tu 😂 Kuna dada huku kigamboni alitufundishaga pamoja na kifaransa na lingala
Hadi huku dar Leo imepiga sana sanaMvua inanyesha balaa🤒
Mi kiukweli najua Kiswahili na kinyakyusa aisee🙄Hongera sana mkuu kwenye haya maisha ni vizuri ukajifunza lugha zaidi ya moja
Kama yakiharibika hayo tupande vingine kwenye hili baridi😎Sijui kama mahindi yangu shambani hayajaoza
Poleee sana 😭😭😭Sijui kama mahindi yangu shambani hayajaoza
Umesahau na kidhunguMi kiukweli najua Kiswahili na kinyakyusa aisee🙄
Babyboy ni mpaka weekend...leo ni babygirl day....ni wewe tu😋Kama yakiharibika hayo tupande vingine kwenye hili baridi😎
Nachopendea huko mbeya maparachichi na kitimoto na mchele mnaishia vizuri sana huko green cityMi kiukweli najua Kiswahili na kinyakyusa aisee🙄
Mbeya mtu akilia njaa kataka mwenyeweNachopendea huko mbeya maparachichi na kitimoto na mchele mnaishia vizuri sana huko green city
Kumbe kuna siku maalumuBabyboy ni mpaka weekend...leo ni babygirl day....ni wewe tu😋
Naunga mkono hoja kakaMbeya mtu akilia njaa kataka mwenyewe
Onho,mchezo🤒Kumbe kuna siku maalumu
Asante sana aiseePoleee sana 😭😭😭
🤣🤣🤣cha kuombea majiUmesahau na kidhungu
😁😂😂😁😁😁🤣🤣🤣cha kuombea maji
SawaaaOnho,mchezo🤒