Serengeti wa humu wote mmenishinda🏃tano wape to yeye na winnonewanaman mi nipe miraba yangu
Mbona wanitisha? Nini hiyo haifanyi kazi mpaka uwe karibu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeambiwa haifanyi kazi nilitaka niyachanganye mapigo ya moyo ili kwikwi ikate...nimeambiwa ilifaa niwe karibu nawe
🤣🤣🤣🤣🤣
Ila ya ubavu inaweza kuwa mbadalaZile za pole pole camera man asichungulie😂😂😂
Sawa ngoja nizibe,maana me sipatani na sukariFanya hivi ziba mdomo na pia hesabu sekunde 10 kimoyo moyo itaacha au kula kijiko kimoja cha sukari
Usiku mwemaShadow7 ulale salama Laaziz💋
Wengine mtajijua 🤒 mlale mmekabwa na wanga nadhani hainihusu🙄
Kwikwi mara nyingi hupotea kwa mshtuko wa habari mbaya ya ghaflaMbona wanitisha? Nini hiyo haifanyi kazi mpaka uwe karibu?
sameja ulisahau ujanja wa porini ulikua unawinda na makeleleSerengeti wa humu wote mmenishinda🏃
Kuna watu wana macho ewwww.Ila ya ubavu inaweza kuwa mbadala
Hiyo kwiki itaisha chapu tu Fanya hivyo hesabu 1 hadi kumi itakata inshallahSawa ngoja nizibe,maana me sipatani na sukari
Barikiwa sana Vincenzo JrUsiku mwema
Amina 😍Nawe pia cute
tano wape to yeye na winnonewanaman mi nipe miraba yangu
😁😁😁😂🤣Kuna watu wana macho ewwww.
Ujanja wa porini, uraiani haufanyi kazisameja ulisahau ujanja wa porini ulikua unawinda na makelele
Hi Vin😁😁😁😁😂🤣