Usiku hatulali sisi ,Huyu anaamka saa sita au saba
Salama tu mama😊Mungu ni mwema mrembo niko poa, vipi wewe?
Asante sana...mie kesho momouky lol,,, twend tukasali
nimeitwa mama hadi nimejiskia upepo mzuri moyoni khaaSalama tu mama😊
🤣😋 ninavyokutamani...naona unaingia mtegoni mwenyewee💋Nilikua naye
Mkuu ..unakula wote tu km vipi ..hizi fursa mnaziachaje wakuuHaha shindwa unataka Winnone aniache?
Hahahahaha,ajipange atafune wote tu🤣🤣 hataki kunipa huyo eti anaogopa nitamtangaza....namwambia jf si wote tumekosa ustaarabu...nikutangaze ili ukose mchumba mwingine 😜
meki shua tunapata koneksheni yake 🤣🤣🤣🤣 hataki kunipa huyo eti anaogopa nitamtangaza....namwambia jf si wote tumekosa ustaarabu...nikutangaze ili ukose mchumba mwingine 😜
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ashakuacha mbona! Akuache mara mbili
Mkuu, Naogopa atanianzishia uzi😂Mkuu ..unakula wote tu km vipi ..hizi fursa mnaziachaje wakuu
Mkuu ..unakula wote tu km vipi ..hizi fursa mnaziachaje wakuu
Kumbe nipo single na sijui😳🤣🤣🤣 ashakuacha mbona! Akuache mara mbili