JamiiForums Usiku wa manane

kuna mwenzake imemsahau jina na yeye yupo fire[emoji23][emoji23][emoji23] nilisoma comment zake kweny ule uzi wa rickboi ayaaa nikicheko tu[emoji1787][emoji1787] ngoj nikutaftie jina kwanza
Ila huyu hapana jamani daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila ana watu wake. Ukiwakuta uwezi amini kama ni yeye aiseeee.
 
naamin bado haujakoma[emoji1787][emoji1787] siku ukikoma huwez hata kusimulia[emoji38][emoji38][emoji38]
 
naamin bado haujakoma[emoji1787][emoji1787] siku ukikoma huwez hata kusimulia[emoji38][emoji38][emoji38]
Nilikoma ila sasa nimeona nirudi tena kumchokoza chokoza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ombea asikutag .... Yaani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilikoma ila sasa nimeona nirudi tena kumchokoza chokoza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ombea asikutag .... Yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

kwahiy bado unautaka utamu wa shangazi yako si ndio[emoji15][emoji38][emoji38][emoji38] bas we ni kijana wa hovyo prooooo max[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kwahiy bado unautaka utamu wa shangazi yako si ndio[emoji15][emoji38][emoji38][emoji38] bas we ni kijana wa hovyo prooooo max[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weeee usiseme hivo....
Hivi ujui hayo maneno yako yatafanya aje hapa kwa vibeee aanze na mimi..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wee si umeona nimemuita kidgo tu lakini reaction yake umeiona πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
bora tu aje amwage radhi maan nyie vijana mmenishinda,, mnapenda mishangazi iliyo changamka eeh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
bora tu aje amwage radhi maan nyie vijana mmenishinda,, mnapenda mishangazi iliyo changamka eeh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Weeeeh acha bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Muache shangazi yangu...
Nahisi mda huu yupo kule kwa jukwaa la politics πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…