JamiiForums Usiku wa manane


haumo wapi,, tena naomba aje akukande mpak ukome[emoji81]
 
🀣🀣🀣🀣 ngoja amalize mizunguko yake lazima aje
 
Usingizi umekata mdogo angu nimepigiwa simu na wambea shemeji yako kaonekana na mwanamke bar wakati kaniaga kasafiri kikazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

usisikilize maneno ya wambea kama huy pua breini [emoji57]ni wachonganishi mnoo [emoji3061]kazi yao ni kuvuruga mahusiano ya watu[emoji3525]...au tumpigie sim tuskie kama kwel yupo kweny makelel ya bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…