Una babe na hujanitambulisha🤔I michi yuu tuu beib😍
PoapoaFresh
ninao wengi ndo shidaUna babe na hujanitambulisha🤔
Namna hiyo! Itabidi uniambie unayempenda sananinao wengi ndo shida
Wa mchongo tu hawaNamna hiyo! Itabidi uniambie unayempenda sana
Kumbe unanipaga chai kule chumbani!😂Wa mchongo tu hawa
Niliyempenda sana alinikacha miaka 3 nyuma
Niliandika humu, ngoja nitafute
pita kimya kimyaKumbe unanipaga chai kule chumbani!😂
Ndo maana huwa naungua
Ulipona kwikwi?Ni saa ngapi huko?
Nimeshamaliza kusomapita kimya kimya
Ni kitu gani ulishawahi kukatazwa na mpenzi wako hadi ukajiuliza hivi huyu ananichukuliaje?
mshamba tu huyo.....Nilijiondokea zangu abaki na ushamba wake.www.jamiiforums.com
kwani ulikuwa unaniamini?🤣Nimeshamaliza kusoma
Kwanini unidanganye?
😁😂kwani ulikuwa unaniamini?🤣
😒Umepoteza points nyingi kwangu....kwani ulikuwa unaniamini?🤣
jamani,😒Umepoteza points nyingi kwangu....
mkubwa😁
Sio vibaya kuongopa lkn ulitakiwa kuniwahi mapema na kusema uliongeza chumvi.jamani,
uongo kidogo huo wa kunogesha mambo
tunaita 'uongo mweupe'
nirudishie points zangu
Kwahiyo itabidi nianze tena kutafuta points nyingine?Sio vibaya kuongopa lkn ulitakiwa kuniwahi mapema na kusema uliongeza chumvi.
Wala usijali yashapita, ila usinidanganye tena na ukifanya hivyo kunogesha usichelewe ikapita miezi ujaniambiaKwahiyo itabidi nianze tena kutafuta points nyingine?
More love less ego brother, it's all love Mad MaxNajua bro Intelligent Businessman unasoma huu uzi. Pole kwa Ban. Najua Mod aliekupiga ni issue personal. Pamoja sana. Lindo lipo salama bro.
Mambo vipi kaka habari za muchanamkubwa😁